Monday, April 14, 2014

TUANZE WIKI NA MDADA HUYU NA MIKANDA YAKE /HILI LILIKUWA VAZI LANGU LA JANA JUMAPILI !!

Kwa kukumbuka vizuri ebu fungua hapa kuona huyu mdada/kapulya anayopenda mikando tangu enzi hizo za ujana wake:-) http://ruhuwiko.blogspot.se/2013/02/mwanadada-na-mikanda-yakemwanamtindo-wa.htmlKama umeangalia vizuri katika hiyo picha ya juu ...Je? Umegundua kitu gani kinakosekana?
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA JUMA/JUMATATU

11 comments:

Ester Ulaya said...

umependeza sana dada....siku njema

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin! Ahsabte nawe uwe na siku njema pia.

Anonymous said...

Umependeza mnoooooooooooooona hongera sana kwa hilo vazi zuri sana.

Anonymous said...

Umependeza mnoooooooooooooona hongera sana kwa hilo vazi zuri sana.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina.....ahsanteeee sanaaaa

Anonymous said...

Umependeza sana dada. Usijichafue kwenye bustani. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa kaka Salum ahsante. .nimeanza ns kichekao kwa vile umesema nisijichafue...sitafanya hivyo nitabadili....ahsante kwa ushauri

Rachel siwa Isaac said...

Umenoga kwelikweli dada wa mimi KADALA,Yaani kama binti wa miaka 16.

Nini siri ya urembo wako?

Manka said...

Umependeza sana Dada Yasinta.Wiki njema

rafikio wa hiari said...

umetokelezea!

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki...Ahsante.....hakuna siri yoyote ile ndugu wangu....nimecheka...eti binti wa miaka 16....:-D

Manka!..Ahsante sana. Nawe wiki uwe njema.
Rafiki wa mimi wa hiari! Ahsante sana.