Thursday, May 2, 2013

WANAWAKE NA MIGOROLI ..HAWA NI WAMTINDO/WAREMBO WA WIKI HII...JE UNAWAFAHAMU?

Wanawake/wadada hawa wanaonekana kupenda sana kuvaa mgoroli ..umegundua kitu hapa ni kwamba wote wameachia mkono wa upande mmoja..:-)
Halafu unajua kitu kingine huyo wa juu katabasamu lakini huyu wa chini au mwenye kijani anaonekana yupo mbali kweli kifkra...Unajua ni kitu gani kingine wadada/wanawake hawa wanapenda kufanya?...Karibuni ....

5 comments:

Interestedtips said...

wote hao ni dada zangu niwapendao sana Da' mija na Da' Yasinta, mmependeza mno na Migorole yenu, safi sana

emuthree said...

Hao ni majemba ya mitandao ya jamii, au wanawake wa shoka, tupo pamoja mpendwa!

Rachel Siwa said...

mmetokelezea dadazz...mimi sijui nasubiri kujua KADALA..

Yasinta Ngonyani said...

Ester!:-)

Emu-three! Pamoja daima.

Rachel/Kachiki! Nilikuwa nakutegemea ....badi tusu iri labda kuna anayejua kitu kuhusu wadada hawa.

ray njau said...

Hakika muonekano ni maridhawa bila madhara!