Tukumbukane, ile neno limenigusa sana, kwani wengi wanapenda kukumbukwa tu, lakini `kane' inakuwa ngumu sana, ubarikiwe mpendwa kwa kuwa jirani mwema kwa kila mtu
Da Yasinta... Kwa kuwa tupo kwenye karne ya teknologia, watu husafiri/huelimika kupitia intaneti/tv/radio, hivyo kusafiri ndio uelimike inapoteza mantiki. By Salumu
6 comments:
Wikiendi njema kwako na wadau wote wa kibarazani.
Nawe pia kaka Ray!
Tukumbukane, ile neno limenigusa sana, kwani wengi wanapenda kukumbukwa tu, lakini `kane' inakuwa ngumu sana, ubarikiwe mpendwa kwa kuwa jirani mwema kwa kila mtu
emu-3 Nawe ubarikiwe sana kwa kuwa jirani mwema ...nimependa hii ya jirani mwema kwa kweli..Ahsante kwa kunikumbuka.
Da Yasinta...
Kwa kuwa tupo kwenye karne ya teknologia, watu husafiri/huelimika kupitia intaneti/tv/radio, hivyo kusafiri ndio uelimike inapoteza mantiki. By Salumu
vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg
Post a Comment