Monday, May 6, 2013

MTU NA MAZINGIRA...LEO NI USAFI WA NJE....

 Leo tulikuwa katika usafi wa nje..Tulikuwa tumekata miti kama unavyoona hilo lundo hilo. Sheria ni kwamba hakuna kuchoma moto ni lazima kutupa sehemu maalumu...kazi inaendelea.....
 Hapa tumejaza mkokoteni mzima na kufunga kamba kabisa kelekea huko tunakotupa taka----
Na hapa ndiyo sehemu maalumu ya kutupa kwenye haya makontena na halafu mashine yanasaga saga....lakini ni matawi matawi tu.....Hivi ndivyo ilivyoanza JUMATATU YANGU...na sasa ngoja nikapalilie na kutoa majani kwenye maua yangu...Muwe na JUMATATU/MWANZO MWEMA WA JUMA.

9 comments:

Anonymous said...

Mwanamke na mazingira. Kwa kweli usafi ni muhimu sana kwa kila binadamu, tunashukuru Yasinta kuwa mfano bora katika hili. Masubiria kwa hamu sana kuona picha za bustani ya maua yako, mana sasa kajua kanatoka. Haya kazi njema.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina...usikonde utayaoba maua tangu karibuni tu maaba ndo kwanza yanaana kuchipua. Nakwambia leo watu hatujavaa gata swata jinsi jua lilivyojitokeza...ahsante

Anonymous said...

Simply wish to sаy your aгtісle is aѕ astounding.

The clarity іn your post is simply nіce anԁ i could аssume you're an expert on this subject. Fine with your permission let me to grab your feed to keep up to date with forthcoming post. Thanks a million and please continue the gratifying work.

Here is my homepage; Payday Loans

Emmanuel Mhagama said...

Na hii nayo ni tofauti nyingine kati ya ULAYA na AFRIKA. Wakati huku "kunyumba" kwetu tunajichomea misitu ya asili iliyotunzwa kwa miaka nenda miaka rudu kwa kisa cha kutafuta ndezi na sungura tu, huko Ulaya wenzetu hata matawi yaliyokatwa kuzunguka nyumba ya kuishi hayapaswi kuchomwa. Mnaliona pengo hilo la upeo wa kufikiri Watanzania wenzangu? Elimu haina mwisho, tuendelee kujifunza kwa waliofanikiwa, pengine hatujachelewa sana.

Mija Shija Sayi said...

Mwanamke kazi! Yasinta nami naisubiri bustani ya maua na mawe pia..

Yasinta Ngonyani said...

Kaka mhagama...ni kukiwekea sheria tu..na sio kuweka tu hapana lazima zifuatiliwe..

Mija!...sio bustani ya maua na mawe...nshaanza na bustani ta mbofamboga na viazi...

Anonymous said...

Jamani mwaka huu vikiwa tayari lazima nikutembelee yasinta! Viazi hivyo pamoja na mboga mboga tutakula wote. Kuhusu Kuchoma moto wenzetu hawataki kuchafua mazingira ya hewa yao, kwani inasemekana kuwa ukichoma moto kuna gas mbaya ambayo ni hatari na inaweza kuleta matatizo ya vifua nk. Hivyo wanachukua hatua madhubuti sana katika kutochafua hewa ambayo inavutwa.

ray njau said...

Vema sana binti Nangonanyi kwa kutufungua macho.Huku kwetu hakuna uwekezaji katika usimamizi na uboreshaji wa mazingira.Kwa ujumla huku makwetu usafi na uboreshaji siyo siyo kazi wala sehemu ya maisha na mafanikio bali kwa upendo watu atafanya kwa mapenzi yake.Ulayaaaaaaaaaaaaaa!!

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ambaye una jina ila hutaki tukujue...Karibu sana nakusubiri...

Kaka Ray, ahsante!