Thursday, May 23, 2013

UJUMBE/FIKRA WA/ZA LEO!!!

Katika dunia huwezi kuishi maisha bora kama una akili/mawazo hasi/finyu.
NAWATAKIENI WOTE SIKU NA KAZI NJEMA!!!

6 comments:

ray njau said...

Hakika ajaribuye hufanikiwa!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! si uwongo..hasa kujitegemea/kuwa na moyo kuwa hakuna kiti kinachoshindikana.

Anonymous said...

Maisha bora kwako Dada Yasinta ni yapi? na mawazo finyu au hasi ni yapi? embu tuelezee kidogo tupate mwanga ulikuwa unaongelea nini. Au MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, AMBAYO TULIAHIDIWA NA HIVI MPAKA LEO DUH.

Yasinta Ngonyani said...

Maisha bora ni kutaka kujituma, kutaka kuanzia kwente msingi sio kufikiri tu kwamba siwezi n kutaka kuanzia juu. Hii kwangu ni maisha bora.

Anonymous said...

nashukuru kwa maelezo na ni kweli tupu dada Yasinta.

issack che Jiah said...

Kujituma ni moja ya juhudi binafsi za mtu unajuwa kama hutajituma ukweli hutofanikiwa katia maisha yaani ukiwa mvivu kwa kiswahili cha wazi wengi wanaishia kuwa duni na hasa ukiwa kule shamba hata hapa mjini kama hutajituma utaishia omba omba na kama ukiwa mtimilifu wa mawazo kuomba ni nomaaa ,Fanya kazi hata ya kujenga au selemala na hata ufundi cherehani ,Mtu mmoja alifanya kazi ya kwenda kupiga stori kwa fundi cherehani kwa miezi sita akitegemea kila siku ammpatie shilingi elfu kila jioni je angejifunza ufundi hiyo miezi sita asingekuwa fundi
che jiah