Friday, May 10, 2013

UMETOKA MKOA UPI HAPA?

1. Dar es salaam - Utapeli
2. Arusha - Heka heka
3. Mbeya - Matukio
4. Tanga - Majini
5. Dodoma - Ombaomba
6. Mwanza - Fujo
7. Kagera - Misifa
8. Rukwa - Uchawi
9. Kilimanjaro - Ujanja
10. Mara - Ukatili
11. Kigoma - Ubishi
12. mtwara - Umaskini
13. Ruvuma - Ugoni
14. Singida - Upole
15. Tabora – Majungu
16. Shinyanga - Miujiza
17. Morogoro = Starehe

18. Iringa - Ukorofi
19.Zanzibar ???
 20.Pemba ??
NAWATAKIENI MWANZA MWEMA WA MWISHO WA JUMA...

11 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh..kaaaazi kwelikweli..mie natoka namba 13...Ruvuma....

viva afrika said...

waja leo ndo khabari kamili, yalikozaliwa mapenzi TANGAAAA sasa hayo majini tena mie hoi. hhahaha

emuthree said...

Kwahiyo huko Ruvuma ni mwendo wa `ugoni' kesi kila siku au...hahaha, huyo aliyetoa hizo sifa sijui katumia mizani ipi, Tupo pamoja mpendwa

EDNA said...

Hahaaa Iringa wametuonea kwa kweli mbona sisi tu wapole sana? sisi sifa yetu ukituudhi tunajinyoga kumaliza fitina, hahaaaa.

Yasinta Ngonyani said...

Duh Viva Afrika! karibu sana ulipotea sana ..umenichekesha kweli:-)

emu-three! mimi naona wanatuonea tu sikubaliani na hilo...:-(
Edna! :-)

Shalom said...

Kilimamnjaro ila sijaelewa ujanja gani hapo!

Anonymous said...

mi pemba

ray njau said...

Mtunzi hapa aliamua tu kuwasilisha ujumbe fulani kwa hadhira na wala ubunifu hauna mahusiano ya karibu na maisha ya mikoa husika.

Unknown said...

Kilimanjaro mshiko bana mangi unasahau tena mambo yetu yale?

ray njau said...

Mizani ya mwandishi ni vigumu kuielewa kwa kuwa ameshindwa kuitambua mikoa kwa asili zake.
Mfano:Kiasili mikoa ya Dar es salaam,Pwani na Morogoro ina uwiano sawa.

Unknown said...

Kwa! Kweli Mtwara ni mkoa maskini kuliko yote? Hayo ni maoni binafsi...