Saturday, May 11, 2013

PICHA YA WIKI..MAMA NISHUCHE NATAKA KUCHEZA...

Inaonekana mtoto hataki kubebwa au sijui kaona kitu fulani anataka akachukua??? Au wenzangu mwasemaje? ...mmmmhhh nimetamani mchicha na chaina hiyo ngoja nami nianze kulima bustani yangu...JUMAMOSI NJEMA..

3 comments:

Ester Ulaya said...

heheheehhe yani huyo mtoto kama namuona anavyopiga kelele, shusha mimi mamaaaaaaaaaaaaa

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Hahaaaaa nimecheka kweli jinsi ulivyofikiri na nimependa.

ray njau said...

Salamu!!