Sunday, May 5, 2013

JUMAPILI NJEMA KWA UJUMBE HUU....BABA SHIKAMOO!!!


Ni jumapili ya kwanza ya mwezi huu wa tano..baraka, upendo na amani zitawale katika nyumba zenu. TUPO PAMOJA

2 comments:

NN Mhango said...

Da Ysinta umenifurahisha sana. Maana huyu jamaa nilikuwa namuona kama mbinafsi asiyeshirikisha familia yake kwenye wito wake. Kwa hii amenifurahisha sana ukiachia mbali ujumbe mzuri tu. Hata kama wimbo wenyewe ni marudio ya Malebo bado unafurahisha kwa kiasi Fulani.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal. Mhango ....Nimefurahi kusikia hili. Kwani nami nimeufurahia ahsante