Friday, May 17, 2013

TUSISAHAU USEMI/SEMI WETU/ZETU..LEO TUANGALIA HUU UFUATAO......!!!

Dunia/Ulimwengu ni kama kitabu, na wao waisosafiri, wanasoma ukuraza mmoja tu.
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA.TUKUMBUKANE:-)

6 comments:

ray njau said...

Wikiendi njema kwako na wadau wote wa kibarazani.

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia kaka Ray!

emuthree said...

Tukumbukane, ile neno limenigusa sana, kwani wengi wanapenda kukumbukwa tu, lakini `kane' inakuwa ngumu sana, ubarikiwe mpendwa kwa kuwa jirani mwema kwa kila mtu

Yasinta Ngonyani said...

emu-3 Nawe ubarikiwe sana kwa kuwa jirani mwema ...nimependa hii ya jirani mwema kwa kweli..Ahsante kwa kunikumbuka.

Anonymous said...

Da Yasinta...
Kwa kuwa tupo kwenye karne ya teknologia, watu husafiri/huelimika kupitia intaneti/tv/radio, hivyo kusafiri ndio uelimike inapoteza mantiki. By Salumu

obat vimax said...

vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg