Ngoma hii ya beta inatokana ilianzia/asili yake ilikoanzia ni pale watu wanapotwanga hasa wawapo wawili michi inapotua kwenye kinu.....umewahi kuusikia wimbo huu wa beta kwa KINGONI..Wa mngwana veve,jana ubweli, lelu ubweli walikinda ndila, ubweli kunilola, ehe!...KISWAHILI ITAKUWA HIVI:- Mume wewe, jana ulikuja, leo tena unakuja umekuwa mtu wa njiani tu, umekuja kuniona, ehe! Sasa hapo ndo weee utamu kweli...
Umenikumbusha mganda. Pia nimemkumbaka Michael Katembo na tumbuizo lake asilia RTD wakati ule ikivuma kabla ya kupasuliwa na FM upuuzi zilizotamalaki. Laiti siku zingekuwa zinarudufiwa nadhani ningefanya hivyo. Najihisi kama niko nyumbani ingawa hapa niko ugenini. By the way da Yacinta una habari zozote kuhusu Mwalimu Masangu wa Matondo mwana wa Nzuzulima? Maana naona ugani kwake kumejaa nyasi. Otherwise nakutakia wikendi njema huku ukiburudika na vitu vya home.
Jamani nyumbani kwetu , jaman napamis Songea wapendwa wangu , Am so sad kwa kweli nawapenda wot mungu atulinde wapendwa , ndo naiona hii blog leo jaman......hebu nitajieni nyimbo zetu za asili kwanza

8 comments:
Nimekumbuka kipindi cha Tumbuizo Asilia Redio Tanzania, sijui bado kipo au la?
Ijumaa njema kwa wote..
Utamaduni asilia ni kioo cha jamii husika.
Ngoma hii ya beta inatokana ilianzia/asili yake ilikoanzia ni pale watu wanapotwanga hasa wawapo wawili michi inapotua kwenye kinu.....umewahi kuusikia wimbo huu wa beta kwa KINGONI..Wa mngwana veve,jana ubweli, lelu ubweli walikinda ndila, ubweli kunilola, ehe!...KISWAHILI ITAKUWA HIVI:- Mume wewe, jana ulikuja, leo tena unakuja umekuwa mtu wa njiani tu, umekuja kuniona, ehe!
Sasa hapo ndo weee utamu kweli...
Pole KADALA...Kama nakuona hapo..baba aahh babahh..nikupenini..
Umenikumbusha mganda. Pia nimemkumbaka Michael Katembo na tumbuizo lake asilia RTD wakati ule ikivuma kabla ya kupasuliwa na FM upuuzi zilizotamalaki. Laiti siku zingekuwa zinarudufiwa nadhani ningefanya hivyo. Najihisi kama niko nyumbani ingawa hapa niko ugenini.
By the way da Yacinta una habari zozote kuhusu Mwalimu Masangu wa Matondo mwana wa Nzuzulima? Maana naona ugani kwake kumejaa nyasi.
Otherwise nakutakia wikendi njema huku ukiburudika na vitu vya home.

Post a Comment