Tuesday, April 2, 2013

WANAMITINDO NA WAREMBO WA WIKI ..JE? UNAWAJUA HAWA WADADA??

Hawa ni kati warembo,wanamrindo waliokuweka katika  COVENTRY WOMEN  Kwa picha na mambo mengine zaidi bonyeza KACHIKI. Ahsanteni wote...

11 comments:

Anonymous said...

Ndioo ni Mija na Rechal. Wanaishi UK. Wamependeza sana sana nimeipenda gauni la Mija ni nzuuuuuuuuuuuuri mno. Jamani naweza kulipata wapi? Jamani si muendelee na maonyesho ya mavazi mana tumeishwazoea sasa hapa! Kesho tena Mija eh!

Cathbert Kajuna said...

Mmependeza sana.... hongereni

emu-three said...

Hawa ni wapendwa majirani zangu, hongereni sana, na Tupo pamoja

Ester Ulaya said...

Hapo namfahamu Da'Mija tuuuuuuu, walipendeza sana kwakweli

Yasinta Ngonyani said...

Mliotangulia hata mimi nimependa mno na hongera sana..safari nyingine nitakuwepo nami:-D

Anonymous said...

Uchuane kweli Yasinta usitudanganye, tukuone utakavyotoka, sijui na Camilla au mwenyewe! Haya sisi tunawasubiria.

Mija Shija Sayi said...

Sasa Yasinta inabidi tujipange tumuombee ruhusa Ester Ulaya kwa Shem Cathbet... au unasemaje?

Shughuli hizi zapendeza mablogger mkiwa wengi..

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina notachuana na wala sitawadanganya utaona.

Kweli Mija tumwombee ruhusa. Shem Cathbert atamruhusu.

Rachel siwa Isaac said...

Asanteni sana Waungwana..Pamoja!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Rachel/Kachiki ! Tupo pamoja!

Justine Magotti said...

jaman wanadada wamependeza sana ,ongeleni sana