Sunday, April 7, 2013

JUMAPILI HII TWENDENI KUNYUMBA SONGEA KULE KULE "SID FARM" KAMA UNAELEKEA SONGEA BOYS VILE...HAPA ILIKUWA MWAKA HUU MWANZONI...JUMAPILI NJEMA WANDUGU..

Akina Ngonyani wakiwa pamoja..
 
Nimaona ngona nimsaidia huyu dada kuhudumia wateja:-)

6 comments:

Anonymous said...

Yasinta umependeza sana tena sana, nimependa hilo vazi lako na jinsi lilivyokupendeza. Ombi kama itawezekana tuwekee picha zaidi. Jumapili njema.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ...Ahsante sana kwa kuona akina Ngonyani tumependeza...Wala usikonde ntakuwa naweka picha:-)

emu-three said...

Unasema umeona heri umusaidie huyo mwanadada, mbona hujabeba na wewe angalia chupa mbili..lol, hongera kwa kumjali

Mija Shija Sayi said...

Yasinta umependezaje?

Hebu naomba utusaidie wadau wako kwamba, ni kwanini wangoni majina yao mengi wamechukua kwa wanyama?

Ngonyani, Mapunda.. n.k, Je kuna historia yoyote? Kaka S mtaalamu wa mambo ya Tamaduni,swali hili unaweza tusaidia pia..

Asanteni..

Ester Ulaya said...

Da Yasinta ungebeba walau chupa ili uwe umemsaidia mdada, nimepend kw pichaaakweli, ni nzuri

Yasinta Ngonyani said...

emu3! nilikuwa namsaidia kupangusa meza...

Mija Ahsante alo dada mkuu msaidizi.. Halafu wewe nawe kwa vijiswali..Lol haya nimejaribu kukujibu umeona?..Kaka S upo wapi???

Ester! nilimwomba chupa lakini akaniambia niwe nafutafuta meza:-)