Thursday, April 18, 2013

KWA MARA NYINGINE TUANGALIE JAMBO HILI :-MTOTO/KIJANA AFUNGA NDOA NA MAMA YAKE MZAZI BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI -SONGEA!!!

Katika pitapita nimekutana na hii mimi na Tanzania ...nikakumbuka hii nikaona niweka hapa  maisha na mafanikio... haya hebu wasikilize maelezo yao pia wanajamii wengine...

Sijui hapa itakuwa laani au ni ukosefu wa akili...inasikitisha sana kwa kweli....Jioni njema kwa wote mtakaopita hapa..Bibi kaongea na kingoni bwana :-)

4 comments:

NN Mhango said...

Naona hii kama laana kama wahusika wana akili timamu.Hivyo, nasisitiza, kama wana akili timamu walipaswa kuuawa. Kama wana matatizo ya akili walipaswa kupelekwa Milembe wakafie huko.
Imani mfu na hatari kama hizi ndizo chanzo cha mauaji ya kipumbavu ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Inashangaza serikali inakenulia hatari hii. Asante sana da Yacinta kuliona na kulileta hili.

Rachel siwa Isaac said...

Duniani kuna mambo....

Anonymous said...

Ndo Dunia tuliyonayo ni balaa! I better live alone.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani songea kwetu jambo kama hili...nakubaliana na waliotangulua mwl mhango, kachiki na kaka goodluck.
Ni laana kubwa sana ni bora kuishi bila kuoleqa/kuoa