tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post4979623539135639468..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: KWA MARA NYINGINE TUANGALIE JAMBO HILI :-MTOTO/KIJANA AFUNGA NDOA NA MAMA YAKE MZAZI BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI -SONGEA!!! Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-56179557170344473632013-04-21T15:29:37.916+02:002013-04-21T15:29:37.916+02:00Yaani songea kwetu jambo kama hili...nakubaliana n...Yaani songea kwetu jambo kama hili...nakubaliana na waliotangulua mwl mhango, kachiki na kaka goodluck.<br />Ni laana kubwa sana ni bora kuishi bila kuoleqa/kuoaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-42330974889305724932013-04-19T18:05:46.741+02:002013-04-19T18:05:46.741+02:00Ndo Dunia tuliyonayo ni balaa! I better live alone...Ndo Dunia tuliyonayo ni balaa! I better live alone.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-15306384276882782742013-04-18T22:56:54.756+02:002013-04-18T22:56:54.756+02:00Duniani kuna mambo....Duniani kuna mambo....Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-4741483814492204802013-04-18T18:07:17.534+02:002013-04-18T18:07:17.534+02:00Naona hii kama laana kama wahusika wana akili tima...Naona hii kama laana kama wahusika wana akili timamu.Hivyo, nasisitiza, kama wana akili timamu walipaswa kuuawa. Kama wana matatizo ya akili walipaswa kupelekwa Milembe wakafie huko.<br />Imani mfu na hatari kama hizi ndizo chanzo cha mauaji ya kipumbavu ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Inashangaza serikali inakenulia hatari hii. Asante sana da Yacinta kuliona na kulileta hili.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com