Sunday, April 14, 2013

JUMAPILI NJEMA KWA NA AMANI ITAWALE NDANI YA NYUMBA ZENU....

Wote mnapendwa sana ...na tuzidi kupendana..JUMAPILI NJEMA SANA....

8 comments:

sam mbogo said...

wimbo mzuri sanaaa.Vdeo yake ninzuripia.maneno ya wimbo nayo yanafariji nakutia moyo katika kumtumainia mungu nahasa yesu kama muokozi wetu. jumapili njema na wewe Yasinta na wote watakao pita hapa kibarazani.kaka s

Ester Ulaya said...

Amen dada.......nawe pia

NN Mhango said...

Kama huyu dada Bukuku anapita hapa basi ajulishwe kuwa alivyojikoroga kuna siku atalipia kwa kansa. Otherwise wimbo wake ni mzuri ingawa kama mtu anayehubiri habri za muumba hana haja ya kujiumba upya.

Said Kamotta said...

Nawe pia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka S...ni kweli ni nzuri uwe na jumapili njema sana ...

Ester! Ahsante sana..

Mwalimu Mhango! Dunia hii unaukumbuka ule wimbo usemao ...binadamu hatosheki hata ukimpa nini milele hataridhika...jumapaili njema pamoja na familia.

Kaka Saidi,,Ahsante sana...Tupo pamoja:-)

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana kadala. .iwe njema kwako na familia pia. ..@kaka mhango tehteh..

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki usengwili sana na chilawu mewawa. Naamini jumapili yako imekuwa yenye amani, baraka na furaha.

NN Mhango said...

Da Yacinta na Rechwe nashukuru kwa kunipa hekima. Kweli binadamu hatosheki hata ukiona anacheka. Muwe na wiki endi njema.