Friday, April 5, 2013

IJUMAA NJEMA...NA UJUMBE HUU!!!

Napenda kuwatakieni wote IJUMAA njema sana..kama una nafasi hata dakika tano chukua hizo na msalimu rafiki yako umpendaye na hata tu kumtumia ujumbe. WOTE MNAPENDWA SANA...

4 comments:

emu-three said...

Usijali sana maumbile au muonekano wan je, vinaweza kukudanganya.
Usiangalia utajiri wao, maana utajiri huisha, na kupotea machoni.
Ni vyema tukawangalia wale wanaokufanya utabasamu, japo, tabasamu ndogo linaweza likaangaza siku yako. Tafuta marafiki wanaoweza kukufanya moyo wako ufurahi.
Mhh..maneno matamu hayo: Nitafurahi kama dada, ndugu yangu mpendwa ukitabasamu, mmh, tabasamu lako linanipa faraja kuwa wewe ni mwanablogu wa mwaka.
Nasema hivi kwasababu gani, hebu tembelea blog nyingi, utamkuta Yasinta keshapiga hodi. Hongera ndugu WANGU. Tupo pamoja, ijuma njema na nakutakia wikiendi njema.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu emu.three! hapa sijui niseme nini..Kwanza nashukuru kwa michango yako..pili hilo la kuwa mwanablog wa mwaka sidhani..Haya hivyo nasama AHSANTE SANA..NAWE IJUMAA YAKO IWE NJEMA PIA MWISHO WA JUMA...NA TUOMBEANA

ray njau said...

Salamu ni daraja la mawasiliano katika familia na jamii kwa ujumla.Salamu kwako Yasinta na wadau wote wa kibarazani kwa mama wa maisha na mafanikio tele!!

Rachel siwa Isaac said...

ndugu wa mimi Emu-three...umemaliza yote!!!!!!

Asante KADALA..
Nami nawapenda Wote.