Wednesday, April 17, 2013

BIBI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA MAPEMA ALFAJIRI LEO..UTAKUKUMBUKWA DAIMA!!

Hapa ni Bi Kiduka katika uhai wake akipiga ngoma..
Upumzike kwa amani utakumbukwa daima.

4 comments:

Amina mzava said...

Tumuombee tu dada kwani alivuta sana mungu amlaze mahala pepa peponi poleni wafiwa,

Yasinta Ngonyani said...

Amina! Ni kweli iliyobaki ni kumwombea tu kwani amatangulia kutuandalia makao huko kwa baba wa milele.

Ester Ulaya said...

watu wa taarabu na wasanii kwa ujumla waige yale yote mazuri, ili kumuenzi, poleni sana wafiwa wote

Mija Shija Sayi said...

RIP bibi !