Thursday, April 12, 2012

PICHA YA WIKI HIII:-NYWELE


Baada ya wiki kadha mdada huyu kufikiria afanye nini na nywele zake, leo amepata msusi na sasa anajiandaa kwenda kusuka........

....baada ya masaa tisa anaonekana hivi...bahati mbaya msusi wangu hakutaka kuwa katika picha ni mdada kutoka Kongo....Nimesuka rasta (tena) ila si za wamasai ..hahahaha...Oh! halafu nimesahau kusema bei yake ni 500 kr. Maana nimesoma maoni ya Da´Mija ameuliza ni shiling ngani kusuka hivi?

13 comments:

Anonymous said...

picha ya juu bila rasta imetulia sana

Mija Shija Sayi said...

Nywele kama hizo ni shilingi ngapi Yasinta..

Umependeza sana.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina hapo juu Ahsante!

Mija! ni 500kr sasa kuhusu shilingi piga ww mahesabu. Na ahsante kwa kuona nimipendeza:-)

Rachel Siwa said...

Umependeza kwenye picha zote!!!!!

ray njau said...

Ni muonekano maridhawa kwa mwanamke halisi wa kiafrika.Wanasema mwanamke unywele au?

John Mwaipopo said...

mija wewe ni mtani wangu wa jadi nini?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Huu si uwanja wangu wala chichemi chochote zaidi ya kusema umependezi lakini.

Rafikio said...

Rafiki hakika umependeza katika picha zote! Wewe ni katika baadhi ya mabinti wenye natural beauty, usuke, uonyoe yote sawa tu!

Interestedtips said...

umependeza kwakweli hasa za rasta

Penina Simon said...

Umependeza, mdogo wangu naona unapenda sana rasta, kwn nywele zako umetia dawa au zipo natural?

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

nimeipenda hiyo ya kabla hujasuka zaidi...lol!

Anonymous said...

Pendeza sanaaaaaa

obat telat bulan said...

obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec