Saturday, April 14, 2012

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA IJUMAA KWA KAPULYA...KUSIKILIZA MZIKI WA SILI/UKIWAKUTA WATU WANATEMBEA UCHI NAWE FANYA HIVYO;.)

Ndo wanaanza kutumbuiza mziki /burudani



Wanaendelea kwa nyimbo, fidla, ngoma na kinanda...........................................

...............................na watu wametulia wakisikiliza ila kilichonishangaza hakuna hata mmoja alisimama na kucheza..mmmhhh kazi kwelikweli....


inaendelea na hakuna anayecheza...na mimi sijui ni vipi kucheza

........inaanza kufikia mwisho hapo amekuja muhusika na kuwapongeza kwa zawadi kwa kuwaburudisha watu kwa mziki nyororo....

Na bila kuchelewa mdada kutoka Tanzania akaona ni lazima achukua picha ya pamoja na hawa wanamziki ....

Na hivi ndivyo jana yangu/ijumaa yangu ilivyokuwa na ilivyoisha......napenda mziki wa asili kwa lugha yoyote ile. JUMAMOSI NJEMA KWENU JAMANI!!!...

3 comments:

Rachel Siwa said...

dadake sasa wewe ungesimama na kucheza bwana!!!!!!Mmmhh lakini nibora kuangalia kwanza tehtehtehe,nafikiri umejifunza mengi huko.J'mosi njema kwenu pia hapo nyummbani.

ray njau said...

Maisha na mafanikio ya familia kwa wadau wote wa kibarazani.
Wikiendi yenye ladha maridhawa kwa familia zote.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

safi sana hiyo...