Thursday, October 22, 2009

NIMEUTAMANI KWELI MLO HUU/NAKUMBUKA MBALI NYASA!!!!!


Yaani hapa roho inauma kweli , nakula kwa kuingalia picha hii, basi tu sijui mwenzangu nanyi hivyohivyo. Mbaya zaidi hapa unga siku hizi haupatikani Sijui nijaribu kupika ugali na unga gani? Ok karibuni basi tule msosi tayari.



5 comments:

Mzee wa Taratibu said...

Si peke yako tu mimi denda linatoka nikitazama picha tu.

viva afrika said...

hakika hapa lazima denda limwagike, haya mabo si mchezo, pole da yasinta

Subi Nukta said...

teh teh, wacha nkachukue pilipili mbuzi... naja.

Unknown said...

Da yasinta umenifurahisha na kuniuzunisha..yaani kumbe tupo wengi tunaokula kwa macho. Me hivi juzijuzi nilifanya kutumiwa unga hasili basi sasa kidogo hafadhali na feel feel home..Kweli nyumbani ni nyumbani na mlo ambao mtu ameula kwa miaka mingi halafu kuja kubadilisha ukubwani au kutokula mara nyingi kile mtu anapenda kutoka nyumbani inauma sana..
Umenitamanisha kwakweli, sasa ngoja nikapike

Yasinta Ngonyani said...

Mzee wa Taratibu asante kama sipo peke yangu nilaye pichani.

Viva afrika ni kweli si mchezo.

Teh teh.. Bado tu unachukua hizo pilipili mbuzi....njoo mi namaliza.

Naxy,chakula cha nyumbani ni cha nyumbuni. Inte äta köttbullar och makaroner....lol