Si unajua tena siye wengine Kikatoliki hakipandi?:-(
Kwa hiyo DOMINIKA 29 Yesu anapanda kivingine KIKATOLIKI kwa neno lishushwavyo na PADRE nini ndio maana DADA Yasinta katika DOMINIKA zote kaitoa bikira DOMINIKA 30 nini?
Unajua swala hili kimaandishi ingawa maandishi yanasomeka ila kuna tusioelewa MCHARAZO!:-(
Nimependa "recipe" ya furaha. Nakunukuu ukisema "ni kupenda/kupendwa na kuwa na tumaini/matumaini!!!" Tatizo ni kuwa sijui tafsiri ya chochote kati ya hayo. Yaani sijijui nikipenda na sijui kama napendwa na sina hakika na tumaini/matumaini Ina maana sitakuwa na furaha kamwe? Lol Blessings Dada
Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.
WhatsApp; +31 687 329 133 Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon
17 comments:
Shukrani nyingi kwako kwa kutukumbuka. Nawe uwe na wakati mzuri sana huko pamwe familia yako.
shukrani sana Yasinta, jumapili njema nawe pia!
Asante mlongo, jumapili njema kwako pia
DOMINIKA ya 30 ndio nini?
swali zuri sana MTAKAVITU Simon...lol
Yasinta tusaidie siye akina baba paroko wastaafu kumbukumbu zimetutoka...lol
kristo...... tumaini lenu
NI JUMAPILI YA 30 YA mwaka wa wakatoliki Simon na Chacha. Ukiwa nje ya uwigo huo unaweza usielewe.
Asante kwa jibu Mkuu CHIB !
Si unajua tena siye wengine Kikatoliki hakipandi?:-(
Kwa hiyo DOMINIKA 29 Yesu anapanda kivingine KIKATOLIKI kwa neno lishushwavyo na PADRE nini ndio maana DADA Yasinta katika DOMINIKA zote kaitoa bikira DOMINIKA 30 nini?
Unajua swala hili kimaandishi ingawa maandishi yanasomeka ila kuna tusioelewa MCHARAZO!:-(
Yasinta ile picha yako pale juu kabisa katikati uliipiga lini? naizimia sana.
ni kitambo da yasinta u wapi mwana familia yetu jamani? twakukosa sie, nataka kuamini u salama na kwa mapenzi yake jalali rejea salama. AMIN
Kocha wa taifa stars maxio maximo akikuona atakuweka kwenye kikosi chake cha washangiliaji.
Umependezea hizo jezi. Hongera sana mwanakwetu.
Bwaya na Mwaipopo hizo fujo au.... ha ha hhaaaa
Nimependa "recipe" ya furaha. Nakunukuu ukisema "ni kupenda/kupendwa na kuwa na tumaini/matumaini!!!"
Tatizo ni kuwa sijui tafsiri ya chochote kati ya hayo. Yaani sijijui nikipenda na sijui kama napendwa na sina hakika na tumaini/matumaini
Ina maana sitakuwa na furaha kamwe?
Lol
Blessings Dada
ni mara yangu ya kwanza kuingia kwenye blog yako nimefurahishwa na neno lako/slogan sio tofauti na wewe
Nimefurahi sana kuona wote umlikuwa na wakti mzuri, Dominika yenu ilikuwa njema.
Fadhy! nawe pia.
Usiye na jina j2 njema nawe pia
Na mwingine usiye na jina wa 8:58 Mlongo na veve navi, usengwili.
Chib, asante kwa kunijibia swali ambalo Simon na Chacha waliuliza ni sahihi kabisa Dominika ni Jumapili.
Pia Samahani wote kwa kupotea ni maisha tu sasa nimerudi Viva Afrika asante kwa kuniuliza na nipo salama kabisa.
Da Mija subiri ntakupa jibu dadangu.
Mwaipopo nawe kwa vijimambo:-) kama alivyosema Chib acha fujo..
Mzee wa Changamoto ipo siku utajua tu kakangu.
kaka Bwaya nimefurahi kuona umerudi tena kwani uliadimika kweli siku hizi. na pia asante kwa kuipenda hiyo picha.
Usiye na jina wa 28/10 11:00 PM Ahsante kwa kuupenda msemo huo na ni kweli mimi sio tofauti. Na karibu sana katika kibaraza hiki.
Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.
WhatsApp; +31 687 329 133
Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon
Post a Comment