Sunday, October 4, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA MDOGO DISMAS

Ni siku nyingine, tarehe nyingine na kaka mwingine anatimiza miaka leo na sisi wote hapa Hammarö. Pamoja na marafiki pia jamaa tunapenda kukutakia HONGERA nyingi kwa siku hii.
HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA,MJOMBA, SHEMEJI PIA RAFIKI DISMAS.

8 comments:

Unknown said...

hongera kaka kwa kutimiza miaka kadhaa, wanasema kwa jinsi unavyoshuhudia rais mpya akiapishwa baada ya uchaguzi ujue kuwa na miaka nayo inasonga mbele.....kaka uzee huo unakuwinda....LOL

Fadhy Mtanga said...

Hongera sana kaka. Mungu akupe maisha marefu yenye amani, furaha na mafanikio.

Camilla said...

Hongera kwa kutimiza miaka mjomba Dis!


Na: Camilla

Erik.Klaesson.!!! said...

Hongera Mjomba Disi !!!!

Salamu kutoka kwa Erik

ERNEST B. MAKULILO said...

Nakutakia maisha mema na mafanikio zaidi ndugu.

MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
San Diego, CA.

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera sana kaka kwa kutimiza miaka hii leo,mungu akuzidishie maika 90 zaidi ya kuishi...lol.

Mzee wa Changamoto said...

Ni baraka kutimiza mwaka kamili
Baraka kwako na MAISHA BORA TWAKUTAKIA
Blessings

Yasinta Ngonyani said...

Nina ona FAHARI kuwa na kaka nadhani wote mnajua nina kaka watano. Lakini zaidi naona fahari kuwa na kaka, wadogo na dada ambao ni ninyi.

Hongera kwa siku ya kuzaliwa kaka mdogo Dismas.