Friday, May 31, 2013

NIMEONA TUMALIZE MWEZI KWA VITENDAWILI VIFUATAVYO:- KITENDAWILIIIIII.....

1.Kuku wangu kataga mibani.....
2. Nina watoto wangu ambao daima wanafukuzana lakini hawakamatani.
3. Ninapompiga mwanangu watu hucheza
4. Mwenye kuitwa amefika lakini mjumbe bado hajarudi.
5. Bibi mweupe ametupwa mibani.
HAYA NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA !!!!!

4 comments:

ray njau said...

1.Kuku wangu kataga mibani....NANASI

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! umepata vema makofi wa wa wa:-)

ray njau said...

Mhhh;makofi kidogo kwa nini?

Vansh Chavda said...

1. Nanasi
3. Ngoma
4. Machicha ya nazi