Sunday, May 12, 2013

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE ...BARAKA NA UPENDO VITAWALE KATIKA NYUMBA ZENU

Napenda kuwatakia jumapili njema wote mtakaopita hapa maisha na mafanikio ...naomba wote tusali sala hii...
Salamu Maria, umejaa neema.
Bwana yu nawe
umebarikiwa kuliko wanawake wote,
na Yesu, mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu,
utuombee sisi wakosefu,
sasa na saa ya kufa kwetu.
Amina.
JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE....

7 comments:

Rachel Siwa said...

Ameen! Asante sana kadala wa mimi. .iwe njema kwako na familia pia.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki duh! Jumipili yangu ilikuwa ya mikikimikiki sana..ila tupo salama.

Anonymous said...

Kumbe Yasinta unapakaga poda usoni au angelface!!!?? Mie hapa nakuona uso wa podapoda. Tupe siri ya urembo wako mama wa kitanzania halisi.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! Ungejua sohawaji kutumia poda maisha yangu yote ba pua nina dhurika na vitu kama hivyo...sijatumia chochote na hakuna siri yoyote. Ahsante ....

Anonymous said...

Hongera Yasinta, basi hiyo ni natural beauty kweli! Unaonekana vizuri sana, au unazidi kuwa msichana.

Mija Shija Sayi said...

Kama hupakagi poda basi tuambie unatumia nini uso kupendeza kama umepaka make-up...watu wengine Mola alitake extra time kuwaumba walahi....

Yasinta Ngonyani said...

Hahaha usiye na jina umenichekesha kweli eti nazido kuwa msichana...AHSANTE ndugu wangu.

Mija ....natumia lotion tu za kawsida kutpka duka la madawa kwani nina alegi mno....dada mkuu msaidizi umenifurahisha eti mungu alichukua muda wa ziada kuumba watu wengine...kaaaazi kwelikweli.