Sunday, May 16, 2010

WHATEVER YOU GIVE WOMAN!!!


UJUMBE HUU NIMEUPATA KWA DADA SUBI ZAIDI SOMA HAPA NIMEUPENDA NA NIKAONA SI VIBAYA NAMI NIKIWEKA HAPA. ASANTE DA SUBI.

5 comments:

malkiory said...

Yasinta, huu ni ujumbe mzito tu na ni muhimu kwetu wanaume ili tuweze kukabiliana na changomoto zinazotukabili hasa katika kuelewa mahitaji ya watu wetu wa karibu, hapa namainisha wake au wapenzi wetu.

Lakini pia tukumbuke kuwa baadhi yetu wanaume tumejitahidi hadi kupita kiasi kuyatekeleza kwa dhati haya mambo mazuri wayapendayo dada zetu, lakini pia wamo akina mama au akina dada waliotumia hizi nafasi vibaya.

Fadhy Mtanga said...

Ujumbe mzuri sana...ahsante sana mtani

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

nakataa: kuna wengine kama akina mama wa kikurya wasipobondwa wanaona kama hawapendwi :-(

ukimchekea anasema ushaanza kuwa na tabia za kishoga...lol

Ukimpelekea maua wakati wa valentine anakutoa berenge kwa kisu akidai ungempelekea kanga :-)

Mzee wa Changamoto said...

Mie nawaza kilichom-trigger Subi kubandika haya. Kisha kilichokufanya wewe kupenda haya.
Kunani?

NAUNGANA ZAIDI NA KAKA CHACHA HAPO JUU.


I hope mama Pau hatasoma maoni yangu. Lol

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Malkiory asnate sana kwa kutopendelea upande.

Ahsante mtani:-)

Chacha, sina hakika na hiyo habari na pia siwezi kusema hapana.
Ni ujumbe mzuri mzee wa changamoto unaeleza mambo ya kweli. Mie natumaini na ningependa mama Pau angesoma hapa---LOL