Saturday, May 15, 2010

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA UJUMBE NI HUU WA DADA EMMY:-KIBENDI JERUSALEM,TUJYE IYERUSALEMU BY EMMY KOSGEI

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOOOOTEEE!!!

5 comments:

EDNA said...

Jumapili njema kwako pia Da Yasinta na familia yako.

Yasinta Ngonyani said...

ahsante Edna nawe pia na familia yako. Nimeipenda picha yako hapa umependeza mdada.UPENDO DAIMA!!

Anonymous said...

jumapili njema na wewe dada ubarikiwe

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

aksenti

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni wote, Naamini wote mmekuwa na j2 nzuri. Binafsi nimekuwa nikipumzika siku nzima kama kawaida yangu kama siendi kazini basi huwa sifanyi chochote isipokuwa kupunzika. Upendo daima-