Friday, May 7, 2010

Ijumaa ya tusikilize wimbo huu:- siku ya kifo!!



IJUMAA NJEMA KWA WOTE NA MUWE NA WAKATI MZURI IJUMAA YA LEO. NA PIA WIKIENDI NA TUONANE TENA WAKATI MWINGINE!!

8 comments:

EDNA said...

Ijumaa njema kwako pia na familia yako.Na pia asante kwa wimbo mzuri.
Ha det så bra.

Unknown said...

Nami pia nakutakia Ijumaa njema dada

Baraka Chibiriti said...

Asante sana, nawe pia na familia yako kwa ujumla.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

wabheja sana ng'wanawani

Tuonane wakti mungineko

Born 2 Suffer said...

Ijumaa njema Dadi witu kweli siku ya kufa unaacha kila kitu duniani.

Jacob Malihoja said...

Tack; Du också!

Unknown said...

Ahsante sana dada. Nami nakutakia kila la kheri....

chib said...

Nawe ijumaa njema pia