Friday, May 21, 2010

Maoni ya Bi Mkora kutoka kwenye mada yenye kichwa cha habari:-KUAMINI KUWA WAMEKAMILIKA Ni Bure KUJIDANGANYA!

Wahaya Nimeyapenda maoni ambayo yamerolewa Rangi Bi Mkora Rangi nimeona Kwa pamoja tujaribu kutafakari. Kama ukitaka kujikumbusha mada nzima bonyeza hapa. Asante sana Bi Mkora.
Hivi ndivyo alivyoanza Bi Mkora: -

Yasinta Wee! mbona umefungua sanduku la Pandora? Maana nyuki watakaotoka humo ndani sipati kusema. Hii mada Mara nyingi huzua mtafaruku mkubwa Kwa sababu Watu wengi wanaamini kuwa wanakoishi Watu wenye ngozi nyeupe Ni peponi Warangi wenyewe Ni Malaika, Ndio maana mtu Mmoja akakujibu kuwa unataka wenzio kuwazibia safari hiyo ya peponi Kwa kuwa wewe umeishafika huko, unataka kufaidi pepo hiyo peke Yako . Mara nyingi Warangi Ni vigumu kufuta AU kubadili kile ambacho wanakiamini Watu Rangi upandaji Kwa siku hizi Ni vigumu kutokana Zaidi Warangi kuwa vyombo vya Warangi kunaswa kimagharibi pamoja Warangi Sinema zao zinazoonyesha kuwa Ulaya Amerika ya Ununuzi Ni Afrika Warangi peponi Ni motoni.

Nimesema Afrika motoni Ni kutokana Warangi potrayal ya picha ya Afrika inayofanywa Warangi wamagharibi, kuonyesha Tabu, mashaka, Shida, maradhi ya Ununuzi matatizo ya Afrika wakati upande mwingine unaona Mambo mazuri Tu hasa kwenye channel zao zinazoonekana ulimwenguni. Mambo Yao yote yenye utata ya Ununuzi matatizo, ulezi, mauaji, ubakaji utakaji Warangi uuwaji Watoto Wa Warangi mengineyo mabaya yanaonekana kwenye channel za mtaa Tu NA SI zao kwingineko, Sasa Ni lini wapi wandengereko Warangi Ununuzi Wa kwetu wamatumbi wataona ukweli kuhusu Amerika ya Ununuzi Ulaya ? Kwa hiyo sie wengine tukisema kuwa SI Kila king'aacho dhahabu, Maisha magumu nako huku tunaonekana wachoyo, wabinafsi waongo NA Kwa sababu tayari tuko peponi. Mbaya Zaidi Kwa mtu kama wewe uliolewa Warangi mzungu, Kwa sisi waafrika wenzetu tulioolewa Warangi tunaonekana kuwa tunasema hivyo Kwa sababu tumekosa Tu kama Sungura "sizitaki mbichi hizi".

Kwa hiyo Kila tutakalosema litaingia sikio Moja ya Ununuzi kutokea sikio la pili. Hata rangi Hao wadogo zetu Warangi Dada zetu wakipata matatizo hawako tayari kusema AU kutafuta Msaada, wako tayari kufa Warangi Tai zao shingoni. Kisa wameolewa NA NA wazungu wanaona aibu kusema yanayowasibu. Huko Afrika Kusini katika Moja ya lugha zao anaitwa Mzungu MULUNGU Warangi sie tumewaguza milungu Kweli Kweli Kila wakifanyacho Warangi wakisemacho kwetu sisi Ni kizuri Hata kama hakina manufaa kwetu.

Pamoja Warangi sababu za umasikini lakini kuna wengine masikini NA SI nyumbani wana Tu Maisha mazuri lakini kuolewa kwao Warangi Mulungu Ni sifa Warangi sababu mojawapo ya kuwakoga marafiki mashoga Warangi. Hivi Ununuzi nafikiri wengine wanamshangaa Warangi kumlaani Yasinta Kila sikU kuweka mapicha ya Ruhuwiko, Kila siku kukumbuka kwao, kuongea kiswahili, hafai VICHUPI kama wazungu, Kwa wao kwao Ni kujidhalilisha lakini wanasahau kuwa "mdharau kwao mtumwa Ni". Kuna Watu wengi tena Tu Watoto Wala wao hawajui kiswahili Hata kidogo cha cha Yale Hata maamkuzi yanawashinda. Hawajui MiLa Warangi desturi zetu za makabila wacha Hata zile za majumui Tu kama kusalimia wakubwa, kuheshimu wakubwa Warangi mengineyo Warangi Wala Wala Hao hawajao kuolewa Warangi wazungu lakini wanaishi Kwa wazungu. Kuna mtu aliwahi tena kunitamkia Bado wakati huo nikiwa naishi Dar, ETI "mimi ningelikuwa msomi kama wewe tena kwenu Warangi ninaishi huku Watoto wangu ningewapiga marufuku kuongea kiswahili". Unafikiri mtu kama huyo akifika ulaya azae tena mzungu amka Warangi Hata Watoto watajua Asili ya mama Kwa Yao?

HAPO NDIPO UKOLONI MAMBOLEO ULIPOTUFIKISHA

Bi Mkora

7 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Duh!

Da Yasinta kwa hii ya leo nimelewa kabisa ila ukitaka niwe swaafi nitumie chupa kadhaa za 'MYAKAYA' :-(

Unknown said...

Hapo si haba wallah tena! Siku ninayoikumbuka maishani mwangu katika kukaa huku ughaibuni ni pale shangazi yangu ambaye nimeshamuona mara mbili tu katika maisha yangu aliponitumia sms. Nikamjibu nikitoka darasani nitatafuta kadi nikupigie. Baada ya masaa mawili nikatumiwa nyingine tena, HUTAKI KUPIGA SIMU KWA SABABU UNAJUA TUTAKUPA SHIDA ZETU HUKU?????

Anonymous said...

Kaka Mrope ungemjibu hapana sikuwa namaana hiyo shangazi ntakupigia tu simu na wala usiwe na wasi wasi msimu wa kipupwe (autumn) ukifika, majani huwa yanapukutika yote kutoka kwenye miti, sasa kwa miujiza ya Muumba majani hayo hugeuka pesa, basi wala sina wasi wasi wa kukutatulia shida zako, tuma ramani ya kiwanja nikujengee kibanda kidogo cha vyumba vitatu. Wallahi na laana atakuachia ingawa haitakupata!

Mimi huwa wala sipati tabu wakati wa kurudi nyumbani maana huwa napata wageni kibao wakuja kunisalimia kipindi ninapokuwa nakwenda nyumbani kwa utafiti, huwa wau hawajui narudi lini zaidi ya watoto na mume wangu, kisha nikifika tu kesho yake naingia Kariakoo, nimeshachenj pauni zangu, nanunua zawadi najaza tele. Kila anayeingia haya mwenye chupi, brassiers, tshirt haya twende! Ndio socialization yenyewe hiyo! Na mchezo huo nimekuwa nikiufanya mara kibao hata wakati sijaja huku nje masomoni, kwenye safari zangu za kikazi nikifika tu, naanzia pale pale airport Dar, nikitoka tu, naingia dukani nabeba chocoleti za watoto na binamu zao, sasa utafanyaje wakati hata muda wakati mwingine huna na watu wanasubiri zawadi!

Bi Mkora

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Duh! @Bi mkora...

Anonymous said...

Hola! I've been following your site for some time now and finally got the courage to go ahead and give you a shout out from Kingwood Texas! Just wanted to tell you keep up the excellent work!

Also visit my web page rockstar squeezepage

Anonymous said...

Great article, totally what I was looking for.


Feel free to surf to my webpage; click here for rough sex

Anonymous said...

I read this piece of writing fully concerning the resemblance of most up-to-date and earlier technologies, it's awesome article.

my blog - click the following internet site