Monday, March 8, 2010

Heri wanawake wote duniani/Internationella kvinnodagen



Napenda kwapa pongezi wanawake wote Duniani, kwanza kabisa mama yangu, binti yangu, na marafiki zangu wa kike wote na bila kujisahau mimi mwenyewe. Na pia napenda kuwapa pongezi wanaume pia.WANAWAKE HOYEEEEEEEEE!!!

6 comments:

Faustine said...

...Nashukuru kwa kutukumbuka sisi wanaume kwenye salamu zako...WANAWAKE HOYEEE!!

Mija Shija Sayi said...

Oyeeeeee.........li li li liiiiii lyaaa lyaaaa lyaaaaaaaaaa!!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Faustine. Asante nawe pia!!

Da Mija nawe kwa vituko sasa nani anapiga ngoma haya bwana ni siku yetu leo. Ngoja niungane nawe lu lu lulu lyaaaa lyaaa lyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

utamu wa ngoma ni kuicheza ati!

Ongereni !

Na raia namba wani kasema mwende majimboni mkagombee msingoje vya bwerere ati viti maalumu...lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

...making life better

tatizo ni laana mliotuletea kwa kudanganyika kumezeshwa tunda la mauti

Bennet said...

Hongereni Bibi, Mama na Dada zetu