Friday, March 19, 2010

Ijumaa ya leo ngoja tuwasikilize hawa watoto, ni somo shuleni!!


Hapa ni dada Camilla akitupigia Trombone/trombon ni moja ya soma shuleni



Na hapa ni Erik naye akitupigia Violine/fiol =kiswahili fidla ni somo pia shuleni

7 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Safi sana!


Kaka Erick na Dada Camila nawapa shavu!!!!! Kazi nzuri and keep it up!

Mija Shija Sayi said...

Eeee bwanaeeeeee!!!!!!!!

EDNA said...

Hongera Camila na Erik,Mungu awasimamie kwa lolote lile mtakalo kulifanya Maishani, Hakika vipaji mnavyo.

Bennet said...

mimi nimeipenda hiyo fidler, masikio yangu yamevutiwa zaidi naye ingawa hao wajuu nao ni wapigaji wazuri wa hivyo vyombo, mwanzo mzuri ingawa mgumu

Koero Mkundi said...

Keep it up my lovely Eric and Camilla....
Huo ni mwanzo mzuri katika kufukuzia ndoto zenu

PASSION4FASHION.TZ said...

Wow!hongera sana watoto wazuri,kazi nzuri inapendeza kuona watoto wanaonyesha vipaji vyao mapema,mungu atawasaidia mtimize ndoto zenu,hongereni pia wazazi kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Yasinta Ngonyani said...

Kwa niaba ya C na E napenda kutoa shukrani nyingi kwa pongezi. Ni shughuli kidogo kama unataka kupumzika na wao wanataka kufanya mazoezi. Ila ndo kazi ya wazazi/walezi.