Thursday, December 25, 2008

WATU TUNATOKA MBALI +KUMBUKUMBU = MAISHA

Nimetoke kuipenda tu hii picha. Swali Je? kuna mtu anajua huyo mtoto ni nani?

PIA NAPENDA KUWATAKIENI WOTE (Chrismas) NOEL NJEMA.

11 comments:

Unknown said...

NAJARIBU KUKUMBUKA, LAKINI WAPI, HEBU NIKUMBUSHE BASI DADA YASINTA.

MARKUS MPANGALA said...

Yasinta upooooooo????? ngoja kwanza HEBU NIPATIE MJI BASI

Koero Mkundi said...

Dada Yasinta, nimeamua kuongeza idadi ya wanablog. mimi ni mgeni, nimepita hapa kujitambulisha naipenda sana kazi yako. karibu kwenye kijiwe changu, unisaidie kukiboresha.

ni mimi Koero Mkundi

Yasinta Ngonyani said...

Shabani jaribu rena kufikiri na kutazama kwa makini nadhani unamfahamu sana tu huyu mtoto.

Markus sijakuelewa!

Koero asante sana kwa kunitembelea Kijijini kwangu na KARIBU sana

Anonymous said...

Barack Obama
nimesema hivyo kwa vile picha zake siku hizi ndio hutumika kuonyesha kwamba watu tunatoka mbali pia ni picha ambayo wanaoiweka mtandaoni wanaamini kwamba wengi tutaitambua kirahisi.

Yasinta Ngonyani said...

ha ha ha watu bwana wanajua sana kuchekesha. Kublog ni raha sana maana kila mtu ana uhuru wa kusema atakacho. ha ha ha haaa

Mzee wa Changamoto said...

Huyu kakaa kishairi saana huyu. Nadhani atakuwa Mwananchi Yeye kaka Fadhy Mtangi. Dada hapo kama sipati zawadi basi hata makofi. Hahahahahaha.
Safi sana kuwa na taswira kama hizi.
Blessings

Mzee wa Changamoto said...

Sorry kwa typing Error (nadhani nilikuwa nawahi kujibu nipate zawadi ya kufungia mwaka). Ni Fadhy Mtanga huyu. Hii picha naipenda saana maana inanikumbusha zangu nyingi. Swali ni kwamba wanasme nyota njema huonekana asubuhi, lakini hutambulika saa ngapi? Ukiwa unaimba imba utotoni ukaja kuwa mwimbaji watasema alianza zamani ama nyota yake ilionekana asubuhi, lakini ukija kuwa nesi hawatasema. Ni kweli kuwa nyota yaweza kuonekana na kutambulika asubuhi ama yaonekana asubuhi na kutambulika jioni? Na je, hatulazimishi vitu kuendana na "matokeo" ya wakati huo?
Simo, mchanga wa pwani huo

John Mwaipopo said...

Huyu ni wewe. bisha nikukong'oli

Yasinta Ngonyani said...

mwaipopo umekosa huyo mtoto si mimi vp tumefanana sana?

John Mwaipopo said...

Si katika kubahatisha tu nipate zawadi ya sweden