Wednesday, December 3, 2008

HOSPITALI YA LITEMBO


Leo nimeamua kutembele hospitali ya Litembo Wilaya ya Mbinga pia Mkoa wa Ruvuma.Nimekumbuka kwani mwaka 1980 babu yangu aliuzwa hapa na mpaka Mu ngu alipopenda alimchukua.

5 comments:

Fadhy Mtanga said...

Da Yasinta, babuyo aliuzwa kinamna gani? Ama ulimaanisha alilazwa?

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo Fadhy alikuwa anaumwa, alilazwa hapo kwa muda mrefu sana kipindi hicho nilikuwa darasa la pili nadhani kwa hiyo nimemkumbuka sana leo

MARKUS MPANGALA said...

poleni sana

Unknown said...

😆

Anonymous said...

Akauzwa! Pole