Wednesday, December 3, 2008

MAPACHA (DOTO NA KULWA)


Na baada ya kutembelea hapo Litembo nikamkuta huyu dada amepata watoto mapacha. Huku na huku. Maisha kazi.

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

Mpe pongezi nyingi huyo dada. Mwambie namwombea kwa Mungu awape wanae maisha marefu yenye furaha na kumjua yeye.
Pia awalee katika maadili mema kama mamaangu alivyonilea mimi.

Yasinta Ngonyani said...

Pongezi zimefika, katika picha na pia nilivyomwona inaelekea atawatunza kwa kadri ya uwezo wako na kuwalinda.

Unknown said...

Na mimi mpe hongera zangu pia.
Nime pita tena kibarazani kwako nimeona nikusalimie.