Thursday, March 12, 2015

TUSAIDIANE KUDUMISHA NYIMBO/MIZIKI YETU YA ASILI ...LEO TUPO UHEHENI NA KAKA RIZIKI MSOLA...

Leo twende UHEHENI tumsikilize kaka Riziki Msola wimbo huu uitwao TWILUMBA na nyingine nyingi utazikuta YOUTUBE haya karibuni..... Riziki Msola ni mwanamuziki mwenyeji wa Iringa anayechipukia katika tasnia ya muziki wa asili nchini Tanzania.Amekuja hewani na nyimbo za Kihehe ijapokuwa hajaweza kukamilisha video yake kutokana na ukosefu wa fedha. Tafadhali sana wapenzi na wafadhili wa utamaduni wa mtanzania jitokezeni ili ubunifu wa Rikizi ukamilike. Wasiliana naye kwa namba hii hapa chini. +255 759 523785 KILA LA KHERI PANAPO MAJARIWA TUTAONANA TENA !

6 comments:

ray njau said...

Inafurahisha kuwaona vijana wakikumbuka utamduni wao.

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kabisa inafurahisha sana na hivyi ndivyo inavyotakiwa kwa makabila yote.

Nicky Mwangoka said...

Nimefurahia sana utamaduni huu na hasa huu wimbo wa asili ya nyumbani kabisa. Asante Dada kwa kutukumbusha Asilia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka nicky ! Ni nfano nzurivwa kufuanata

Rachel Siwa said...

Sandee Beehh Mnyalukoro Kadala, jasho linanitokaa na baridi hii..!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki sio peke yako mwenywe nipo hoi hapa. .ama kweli udalike mtani.