Monday, October 22, 2012

TUSIISHIE SONGEA NGOJA TUENDELEE MPAKA KWETU NYASA:- HIZI NI TASWIRA ZA NYASA

 
MAWINGU HAYO SIJUI NDIO MWANZO WA KUCHAFUKA ZIWA?
 
NA HAPA HAKUNA  HAKUNA TAABU YA KUSUBIRI SANA SAMAKI NI KUINUKA TU..PIA MAJI KARIBU ...naimekumbuka sana nyasa....

7 comments:

MARKUS MPANGALA said...

Raha sana, tena unapata samaki moja kwa moja kutoka ziwani akiwa na ubora wake uleule.

Yasinta Ngonyani said...

Na samaki huyo anavyonoga weweeeeee yaani nimekumbuka kweli nyasa kwetu..Lazima niende tena...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Yacinta kumbuka paspoti kama utataka kuingia mle ziwani kuogelea according to our sister Joyce Mtila Banda.
Wanasiasa ni viumbe wa ajabu. Laiti wangekuwa samaki nisingekula nyama kamwe.

Anonymous said...

ndio Yasinta mtu kwao mkataa kwa ni mtumwa!!!

Interestedtips said...

yaaani ningeishi maeneo haya...ningekuwa nanukia samaki tuuuu...tena ningejua kuvua samaki....raha sanaaaaaaa

Yasinta Ngonyani said...

mwal.Mhango haitawezekana kwenda na paspoti wakati nimezaliwa kule..nakubaliana nawe wanasiasa ni viumbe wa ajbau sana Mungu ameumba ardhi na wao wanasema yangu yangu kaaazi kwelikweli.
Usiye na jina! nikatee tena kwangu kama ulivyosema ntakuwa mtumwa.

Da´mdogo Ester! mwenzio wakati naishi hapo nilikuwa kweli nanukia samaki mimi na samaki kama vile maji na samaki..

Unknown said...

Ila samaki wa ziwa nyasa ni watamu jamani:Kambare,mbufu,hango,kitui,ngogo,ngisi,magege...!