Friday, October 19, 2012

LEO TUWATEMBELEE NDUGU ZETU WASUKUMA HUKO MWANZA NA UTAMADUNI WAO WA ASILI


NAWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA UWE MWEMA SANA...

3 comments:

sam mbogo said...

Wachawee! ngoma za asili nitamu kuzicheza hasa kama unazijuwa.Yasinta samahani kidogo hii ngoma sidhani kama ni ya wasukuma,kwa kuisikiliza na kuitazama inafanana na ngoma kutoka mtwara kama sikosei inayoitwa MALIVATA .ila mazingira na muonekano wa zana za muziki hakika ni wasukuma na maranyingi mkusanyiko huo wa ngoma kama vifaa ala huifanya ngoma maarufu ya wasukuma iitwayo BUGOBOGOBO inoge zaidi.kaka s.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam! nilipotafuta ngoma ya kisukuma na ikatokea hii na hata hapo kwenye video unaona wameandika Sukuma dance..nitatafuta hiyo BUGOBOGOBO:-)

sam mbogo said...

Pole sana da,Yasinta.Nikweli wameandika hivyo lakini nimeangalia tena hiyo si ngoma ya wasukuma. ila ni wasukuma wamecheza ngoma kutoka mtwara/lindi katika mazingira ya kisukuma.maranyingi kwa uhakika ngoma hii huchezwa na vijembe vidogo,na ndo hapo mtu aliye itundika kwenye mtandao huenda alichanganya kwani wasukuma pia wana ngoma inayo tumia vijembe vidogo,na ndiyo Bugobogobo mwanawanane !! we itafute tu ni nzuli. kaka s