Wednesday, October 31, 2012

TUTEREMKE KIDOGO MPAKA SONGEA MJINI SASA:- TATIZO LA MAJI NA PIA MAFUTA KUADIMIKA!!!

Tatizo la maji Songea mjini, ndoa moja ya maji shilingi 500....
 
Na hapa ni madereva wa pikipiki katika foleni ya mafuta hapa ni kituo cha mafuta cha Kisumapai. Ni kwamba sasa imefikia mafuta yanatolewa kwa mgao Songea yetu....Natumaini matatizo haya yataisha karibuni kwani vitu hivi vyote ni muhimu sana katika maisha ya binadamu.

3 comments:

ray njau said...

@Yasinta;
Taswira hii ni maisha na mafanikio au mikikimikiki ya maisha ndani ya manispaa ya Songea na vitongoji vyake???????

Anonymous said...

Ndio faida ya kuchagua CCCCCCCCCCm

Mija Shija Sayi said...

Vitu hivi vinanikumbushaga nyumbani kishezi yaani...