Friday, October 12, 2012

KUMSHUKURU/KUSALI KABLA NA BAADA YA CHAKULA...!!!

JE? Wewe msomaji una tabia ya kufanya hivi kabla ya kula na baada ya kula? au unafikiri hawa wanafanya nini hapa?

7 comments:

Ester Ulaya said...

kwanza nimefurahi hicho chakula kilicho mezani, kinaonyesha kuwa chochote kiendacho mdomoni shurti kiombewe

pia nina ka experience wengi wetu wakati wa kuanza kula twasali, kikiisha tunasahau kushukuru

Yasinta Ngonyani said...

Ester! si uwongo ni kweli chochote kiendacho mdomoni na kilicho mezani ni vema kukiombea. Ni kweli wengi tunasali wakati wa kuanza tu tukishashiba basi twasahau kushukuru...Basi tukumbushana au kama tuliaacha tuanze

Ester Ulaya said...

INABIDI TUANZE KWAKWELI, HADI AIBU KIMOYO MOYO

Yasinta Ngonyani said...

Kwa uleli inabidi kumshukuru Mungu kwa lolote lile. Aibu ni nzuri maana ukiona aibu utajirekebisha na mambo yatakuwa safi...

Ester Ulaya said...

Amen

John Mwaipopo said...

ngoja niwaulize nyie wadada. Hivi hata bia au ulanzi kabla hujaanza kunywa unatakiwa usali kwanza?

Yasinta Ngonyani said...

Kaka John! kila kitu unachoingiza mdomoni/chakula ni lazima ushukuru hata maji...