Sunday, October 28, 2012

NAPENDA KUWAYTAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI HUU IWE NJEMA SANA!!

Leo ni Jumapili ya mwisho wa mwezi huu wa kumi nami nawatakieni wote Jumapili njema sana binasi itaishi kubeba mabox...JUMAPILI NJEMA KWA YOYOTE ATAKYEPITA HAPA NA KUSOMA UJUMBE HUU.

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Uwe na wakati mwema dada mkuu..

Yasinta Ngonyani said...

Dada Msaidizi nwe pia ..Ahsante.

sam mbogo said...

shikamoo dada yasinta. asante kwa ujumbe,umependeza hiyo picha maana tabasamu nila nguvu. jumamapili njema.mdogo wako wa kufikia kaka s.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam! Jumapili njema nawe pia na familia ..Ahsante kwa kupita hapa..ni picha ya zilipendwa 2004

NN Mhango said...

Have a spiffy one

ray njau said...

Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi. _Mwanzo 3;17-19