Tuesday, October 23, 2012

NIMEIPENDA PICHA HII NA NIMEONA IWE PICHA YA WIKI/WAREMBO WA WIKI!!!

 
Kwa kweli nimeipenda hii picha hebu iangalie wewe unaona nini katika picha hii? ukitaka kumsoma zaidi mdada huyu basi bonyezaga hapa...

4 comments:

Ester Ulaya said...

smile zao tu zimenikoshaaaaa.....kweli ni picha ya wiki

NN Mhango said...

Da Yacinta you have spoiled my day. I clicked as you advised to end seeing old stuff! To my surprise I feel like offended. This is why I am commenting in English. Whenever I am annoyed English becomes my means of venting.

Anonymous said...

Dada Yasinta sio kila kitu cha kuwaambia watu waangalie! Mana picha za chini mh sio za kutazama. Hivi kwa nini huchuji?

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Hata mie niliona hilo...ni kweli na hivyo vidole pia..

Mwal. Mhango Ahsante kwa ushauri na pole pia.
Usiye na jina! Nawe nashukuru kwa ushauri wako..