Sunday, October 21, 2012

NAPENDA KUWATAKIA WOTE JUMAPILI NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA!!!

Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Mwanzo 3:16
JUMAPILI/DOMINIKA IWE YENYE UPENDO.

5 comments:

Ester Ulaya said...

Asante dada nawe pia j2 njema

Yasinta Ngonyani said...

Dada mdogo Ester ahsante sana..

Anonymous said...

J2 njema kwa wote!

emu-three said...

J2 na j3 njema

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! ahsante kwa kweli j2 yangu ilikuwa njema na yenye utulivu..Namshukuru Mungu.

emu3!nawe naamini ulikuwa na jumapili njema kwani mie ilikuwa njema.pia jumatatu nimeianza vema.