Thursday, October 25, 2012

SI MWINGINE TENA BALI NI NURU WETU AMEFANYA TENA KILE ANACHOKIWEZA...HAYA EBU MSIKILIZE HAPA HUU WIMBO MPYA CHAPA LAPA!!

Nachukua nafasi hii na kumpongeza dada Nuru kwa kazi nzuri aliyoifanya.Ni ujumbe mzuri kama una muda sikiliza ...chapa lapa kaka sitaki tena mapenzi kila siku unachanganya danganya  danganya toto ..aahhh sikiliza mwenyewe...

Kila la kheri !!!

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Aisee ana sauti si mchezo..

Hongera Nuru!

Yasinta Ngonyani said...

Dada Msaidizi yaani si mchezo..Anapaswa kupongezwa...