Monday, October 22, 2012

TUANZE JUMATATU HII KWA KUTEMBELEA KIJIJI FULANI SONGEA!!!

Kwa wale wanaotoka Songea au wale waliofika Songea hivi hapa ni wapi? Ni kijiji gani hiki? Jumatatu njema kwa wote

5 comments:

Emmanuel Mhagama said...

Mie hapa hola. Labda sijawahifikika hiki kijiji au hii view nayo ni kikwazo kugundua ni kijiji gani. Maana huwa tunaviona kwa chini chini tu.

Emmanuel Mhagama said...

Mie hapa hola. Labda sijawahifikika hiki kijiji au hii view nayo ni kikwazo kugundua ni kijiji gani. Maana huwa tunaviona kwa chini chini tu.

GOODLUCK said...

Kijiji hicho nimekipenda sana hasa nyumba zetu zile za nyasi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhagama! hata mie sipati picha hapa ni wapi kwa Songea ila naona kama vile kule Mshangano?

Gooluck! ni kweli pamependeza...

Anonymous said...

apa kweli umenifikisha mlongo, nakumbuka vile vi jiji vya njiani kuelekea peramiho kama unatokea songea mjini.kuanzia kwa jumbe iddi........