Tuesday, October 2, 2012

PICHA ZA WIKI:- ZILIPENDWA/UJANA!!!

 
unajua huyu ni nani?
 
...Na je unajua huyu pia ni nani ?..na je katika picha hizi ni kitu gani hawa watu wanafanana/ au hawafanani? JUMANNE NJEMA SANA!!!

9 comments:

emuthree said...

Mimi hapo ninachoona ni `usichana' jingine `portable' jingineee,`ulimbwende!

Yasinta Ngonyani said...

Hahahaaa! emu-three ni kweli tulikuwa wasichana..ulimbwende duh! labda kiduchu...Ahsante:-)

ray njau said...

Hakika siku hazingandi lakini zinayeyuka!!

Mija Shija Sayi said...

Bonge lafumbo Yasinta, ila nimekuona hapo..

Mambo ya "then and Now" hebu waombe wadau wakuletee picha zao za zamani na za sasa hivi.. tukumbushie enzi...

Ubarikiwe sana dada Mkuu..

Yasinta Ngonyani said...

nachukua nafasi hii na kuwashukuru wote mlipita hapa ...hapi katika picha hii inaonekana enzi hiozo mkanda ulikuwa ndio fasheni..si mmeona wote wana mkanda hata kama sio aina moja,,,Wazo la dada mkuu msaidizi si mbaya je naweza kupata picha zenu wakati mlipokuwa vijana au hata za harusi?

Mija Shija Sayi said...

Dada mkuu wewe kiboko.. picha za harusi..???!!!... bonge la wazo mama Kamila..

sam mbogo said...

sasa picha za harusi si wengine tumeowa ndoa za mkeka inakuwaje hapo? lakini wazo zuri.kaka s.

Yasinta Ngonyani said...

Dada mkuu msaidizi ndiyo za harusi:-) Ahsante kwa kuona bonge la wazo.
Kaka Sam ww uwe wa kwanza kunitumia:-)

Anonymous said...

Wa kwanza ni dada Mija na ya pili wewe da Yasinta.kweli huo muda wa ujana !