Thursday, October 28, 2010

WANABLOGGERS KUKUTANA JANA MJI WA TAMPERE


Malkiory Matiya na Mtakatifu Simon Kitururu
wakutana uso kwa uso!!!

Wanablogger hawa walikutana jana katika mji wa Tampare. kujua nini kilitokea huko bonyeza
Mtakatifu Simon na pia Malkiory Matiya. Ila jamani ugimbi huo mmmmhhh!!!

14 comments:

Simon Kitururu said...

Ni chai hiyo Bwana!:-)

chib said...

yaani imeshageuzwa na kuitwa chai, ha ha haaa.
Kuna mtu fulani alisema at Mt. bila hiyo "chai" hawezi kuandika vizuri makala kwenye blogu yake

Simon Kitururu said...

@ Mkuu CHIB: :-)

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

chai ya mchina...lol!

emu-three said...

Chai au chai? Ahsante kwa kukutana natumai mambo safiii!

EDNA said...

Weeee MTAKATIFU usitudanganye bwana,chai gani ina povu?
Hahaaa i hope you had great time.

viva afrika said...

kwa heshima na taadhima naja kusalimu dada yangu , u mzima weye? juzi nlirejea kimya kimya, ila mama alinifundisha uungwana ni kubisha hodi.

mumyhery said...

chai ya mchaichai!!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Hahahaa! mtakatifu na chai ya mchai chai....kajisemea EDNA mbona inapovu?mmmh! hiyo nikwa ajili ya mtakatifu SIMON pekee.

Simon Kitururu said...

Jamani ni CHAI ya unga wa mihogo hii!:-)

Na mlaumu Mkuu CHIB aliyeanza ku-DOUBT nini kinasaidia MKUTANO!:-)

Baraka Mfunguo said...

Hivi Ugimbi kwa kingoni unaitwaje? Teh teh teh

John Mwaipopo said...

chai ya maji taka ya ilala au iwambi mbeya. hope you had gud taim. frothy tea?

chib said...

Mtakatifu, kisaidiacho mkutano ni "Chai" mkuu :-)

Simon Kitururu said...

@Mkuu CHIB: :-)