Wednesday, October 6, 2010

Nimekapenda kawimbo haka



Sikiliza ujumbe huu !!!

5 comments:

chib said...

Nimeburudika vya kutosha nikiwa hapa Nairobi nikisubiri usafiri wa kwenda London. Big up

Simon Kitururu said...

Ndio , wimbo unakuna vyema kipele!
CHIB safari njema!

Majaliwa said...

Juma nature Hutu...jam a kwa kweli kipaji a nacho!Tuko pamoja:)

emu-three said...

Nami nimeburudika, inagawaje computer yangu haichezi vizuri. Chib safari njema!

ERNEST B. MAKULILO said...

Juma Nature ni msanii anayetisha...japo huwa ananyimwa tuzo za Tanzania, sababu ya chuki za watu wenye tuzo nk, ila ndio anaongoza kwa kupendwa Tanzania na mziki wake mzuri.

Pia hana roho mbaya ya kuwabania wasanii wengine hasa kuwatoa kupitia kolabo aka featuring

Unaweza kuona wimbo wake wa Mugambo alioimba na Lil Kim Jukwaani hapa http://www.youtube.com/watch?v=9P4mazemkTs