Friday, October 22, 2010

WANYAMA NAO WANAFIKIRI NA KUFANYA MAJARIBIO KAMA SISI BINADAMU!!

Hapa vipi???
Sijui hapa niseme huyu farasi ni mjinga au? unakubaliana wanyama wapo karibu sana na sisi binadamu? Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa nacheza na rafiki yangu Pona tulikuwa tukipangua mbula/mabuni na mchezo huo umenipa kilema kwenye kidole changu, kwa ajili ya kufanya majaribio kama huyo Farasi. Sijui atatukaje hapo?



Nadhani kama huyu Chura hapa juu wengi leo ni mwisho wa juma na kazi mpaka jumatatu tena kwa hiyo itakuwa ni kupumzika tu. Haya nawatakieni IJUMAA NJEMA SANA!!!!

5 comments:

emu-three said...

Swali ni je wanafikiri nini? Kama binadamu fikira za mtu zipo kichwani mwake, wapo wanaozibainisha na wapo wenye siri na mafundo mioyoni mwao.
Je ikitokea kuulizwa kila mtu ataje siri kubwa moyoni mwake na iwe lazima na iwe ni kweli mbona watu wangeumbuka....!

John Mwaipopo said...

kwani ni lini binadamu waliondolewa kwenye kundi la wanyama. tofauti na wanyama ni kuwa binadamu wanavaa nguo, ingawaje kuna baadhi ya binadamu siku hizi wanatamani wasingevaa nguo kabisa. angalia sketi wanazovaa utakubaliana na mimi.

ADELA KAVISHE said...

hahahaha nimependa sana hizo picha,wanyama wana mambo mengi sana na wakati mwingine wana akili sana

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Duh!

Na veve twakutakia siku njema!

Simon Kitururu said...

DUH!
Mtaalamu JOHN MWAIPOPO kanisemea kitu kilichonisengenya baada TU ya kupata dozi hii ya MDUNGO ya mpenzi Da Yasinta!:-(