Friday, October 1, 2010

Ni Ijumaa mpja ya mwezi, kula kwanza halafu kunywa!!

Napenda kuwatakieni IJUMAA njema na mpya /ya kwanza ya mwezi huu wa kumi. Kila mtu leo atasema sasa nimemaliza kazi ngoja nipumzika na nipate moja baridi!ugimbi. Ni sawa lakini kumbuka kula kwanza ni MUHIMU sana. IJUMAA NJEMA!!!

6 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

....YES....mtori kwanza kisha mbege ha ha ha haaaa!

Mija Shija Sayi said...

Asante Yasinta, na wewe pia.

EDNA said...

Ijumaa njema kwako pia,

chib said...

Maziwa kwanza kisha matunda...
Ijumaa njema kwako pia

Simon Kitururu said...

Mmmmhhh!

emu-three said...

Ijumaa njema kwangu ni makande kwa juice