Wednesday, October 20, 2010

Tusisahau Fanicha zetu/Nimekipenda kitanda hiki!!!

Kuna vitanda vya aina mbalimbali lakini hiki ni cha aina yake na kina mvuto wa pekee na ni kizuri ingawa sijui bei yake lakini...... Bombi sana. picha kwa hidhini ya mtani wangu Mwananchi mimi.

5 comments:

emu-three said...

Mhhh, ukitaka kulala huku sawa, huku sawa, kwasababu ni duara, lakini siri ya kitanda, lazima kuwe na muelekeo maalumu! Swali kwanini kitanda huwekwa pembeni au ukutani na sio katikatii ya chumba kama meza?

ADELA KAVISHE said...

kitanda kizuri sana lakini kalala kimdoli kidogo jamani,,mmmh hapo full kujiachia

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

honeymoon au mke wa mtu

Yasinta Ngonyani said...

em-three! umenichekesha kweli . Kaazi kwelikweli. Na hiyo ya kwamba kitanda kuweka pembeni, mmhh sijui kwani ni uamuzi wa wanaolala wapi kitanda kitawekwa au?

Adela D.K! ni kweli kakitanda kazuri sana na chumba mpaka kinavutia kamdoli kamelala hapo kwa mapambo tu nadhani la sivyo mtani Fadhy atatupa jibu.

Kamala, Kamala! Mweh kazi kwelikweli:-)

Penina Simon said...

Kweli hata mm kimenivutia, lakini hata ukimwambia fundi akuchongee hilo godoro utalipata wapi? manake tangu nizaliwe sijawahi kuliona linauzwa kokote.