Sunday, March 3, 2013

NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWEZI MACHI:- NAMI NAPENDA KUWATAKIA IWE NJEMA SANA!!!

Mbali na kuhimiza kulinda na kutunza mazingira, tuwatunze na kuwalinda pia wanyama walio katika mbuga zetu za Tanzania na po pote. Tazama, jinsi twiga huyu anavyovutia na kuipamba nchi yetu. Mungu akaona kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana. JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE NA KWARESMA NJEMA PIA...KAPULYA

4 comments:

Baraka Chibiriti said...

Asante sana Dada Yasinta....na kwako pia.

emu-three said...

Ni kweli wanyama ni rasilimali kwa taifa, tunaingiza pesa kutoka kwa watalii, ...ujumbe muruwa, na j2/na j3 njema

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Baraka! ahsante kwa kuwa nami jumapili hii....

emu3! Nakubaliana nawe ni muhimu kuwatunza wanyama na ni kweli rasilmali..Uwe na jumatayu njema naamini jumapili yako ilikuwa njema

ray njau said...

Asante sana kukutupatia nafasi ya kukumbuka urithi wetu........................@Yasii.